Swahili channel on the Cardano Forum

Hello every one. I am a Fund 8 funded proposer Community
“Catalyst Resources In Swahili”. Swahili is the most common language in East Africa. We have already start to produce the resources which aim to increase awareness, participation and adaptation in this region. Also I am language ambassador in MulCa project (Multilingual Cardano Hub) (Discord) . Source of our resources are from https://cardano.org/ and Catalyst School. So I highly believe that the translated resources will reach effectively and impact the Swahili speaking community if there will be a channel for this language on the Cardano forum and it will be of benefit for the Cardano ecosystem because it I will create a room for Swahili speaking community to share ideas, communicate and collaborate.
2 Likes

kweli ufasaha wa lugha ya kiswahili hususani kutoa mwelekeo na kueleza dhidi ya miundo msingi ya sarafu ya crypto itachangia pakubwa kuendeleza kupitishwa na matumiza ya miradi kama wa cardano katika jamii na jumuiya ya afrika mashariki, mchakato wa kueneza na kuchangia habari za mirandi ya cardano ni kutafuta na kuandaa jukwaa litakalo jumiza jamii, wadau ili jukwaa kama hili lipata wachangiaji na lienee.

1 Like

Hakika nafurahi na wewe umeliona hilo

1 Like

Tafadhali jibu kwenye post hii ilituweze kulifanikisha hili kama utapenda https://forum.cardano.org/t/join-contribute-moderate-swahili-category/102701?u=babaelliot

shukrani kwa mjadala unaolenga mwelekeo wa sarafu ya crypto.

hili kiungo lanielekeza kwa ukurusa ambao umesitishwa

@adatainment who can asisst @NFTnode to view the contributor post